A Love That Gave It All: The Life of Johann Ludwig Krapf
Discover Johann Ludwig Krapf’s story of faith, suffering, and perseverance in spreading the gospel among the unreached people of East Africa.
Discover Johann Ludwig Krapf’s story of faith, suffering, and perseverance in spreading the gospel among the unreached people of East Africa.
Meet the Council members of TGC Africa and hear their views on the benefits that a coalition such as this can bring to the family of believers in Africa today. Episode 3: “The Gospel Coalition provides a platform from which people and even pastors, who might not be able to afford formal theological training, can access sound Biblical teaching.” “The Gospel Coalition is all about teaching and people hearing the truth – the truth of the Gospel that will set us free” “It is a network – in Zimbabwe we can learn from Tanzania without going there. We can learn...
Injili ni neno ambalo yawezekana sisi sote tumelisikia mara nyingi katika maisha yetu ya kila siku ya Ukristo wetu. Hata unapomueleza Mkristo mwingine yeyote atakwambia kuwa injili ni “Habari njema”. Na hata unapomueleza Mkristo huyo hizo habari njema anaweza kufikiri vizuri kwa kujiuliza swali Je, ni habari zipi hizo? Na hata akaweza kukupa majibu tofauti tofauti ya kukushangaza sana! Msomi, na Profesa wa Agano Jipya katika chuo theolojia, David Seccombe anaandika akisema “Injili ni muhimu kwa sababu watu wanaishi katika mwili na injili ndiyo inayotupa uzima, na ni pekee inayotupa uzima.” Injili ni muhimu kwa sababu watu wanaishi katika mwili...
The word ‘gospel’ is one we have all heard many times during our lives as Christians. If you ask almost any Christian, they will tell you that the gospel is the “good news”. If you go further to ask that person what this good news entails, the variety of answers you get might surprise you! New Testament scholar, David Seccombe, put it this way, “The gospel matters for humankind because it alone gives life.” According to Paul, the “gospel” is the tool that God uses to save mankind What is The Gospel? To break it down, the word ‘gospel’ comes...
Dunia yetu imejaa na habari za uongo na pia Injili za uongo. Mungu pia anakua na Injili ambao ni Injili ya kweli na ni Injili ya Mungu. Injili ni utangajazi wa kimapinduzi ya kwamba Yesu ni mfalme. Tangazo hili linaimarishwa ndani ya Mungu Mmoja, Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, ambao wanajuana, wanapendana, na kutukuzana. Mungu huyu aliumba vitu vyote vionekanavyo na visivyo onekana, na kwa hiyo anastahili utukufu wote na kuhimidiwa. Mungu huyu amenena kupitia Mwanawe na Neno lililo andikwa kwa Agano la Kale na Agano Jipya. Mungu huyu huyu ndiye aliyeumba wanadamu, mwanaume na mwanamke. Kwa kusikitisha walimuasi...